Tweets
stringlengths 11
277
| Labels
int64 -1
1
|
---|---|
Hamna kuvua suruali yote | 0 |
Madini ya ndani ya | 0 |
Ngoma ikilia sana haikawii kupasuka | 1 |
Wajeda wamekaa tunaondoka na alama tatu muhimu | 0 |
Hahaha hili zuri zaidi prosafe | 1 |
Mwaka Unaisha Lakini atachukua Tuzo ya MPUMBAVUUU BORA wa Mwaka Au mekosea Wadau https | -1 |
Nashukuru sana kwa kutuelezea umuhimu wa kupima | 1 |
Uvumilivu Ukizidi Ni Unyonge | 1 |
Upendo wangu kwako ni kama safari unaanzia milele na kamwe hautokwisha | 1 |
Wimbo wa taifa wa Tanzania | 0 |
Ukweni malalamiko yanekuwa mengi ndio maana tunafikisha ujumbe | 1 |
Troll kwenye jukwaa mwenyewe eee sawa | 0 |
Uko na maushauri ya violence tu | -1 |
Au waliwapa mkono Chelsea | 0 |
Habari ahsante kwa kuwasiliana nasi Naomba ufafanuzi kwa msaada zaidiLL | 0 |
Wakitaka kunishtaki nasema Nishafika hapa mtanipeleka wapi tena | 0 |
Kumekucha Na Makucha Yake Vipi Tuwashe Mitambo Au Tukaushe | 0 |
Bashiru aonya wanaolumbana CCM | 0 |
Mara mojamoja uwe unanunua magazeti ya utazikuta | 0 |
Ile video ya Rosa Ree kajidhalilisha kwakwelihata kama haoni madhara yake sasa | -1 |
Oi huyu poti ulimuuliza nini akapanic hivi | 0 |
Mgosi Asante kwa kuwasiliana nasi na endelea kufurahiya huduma zetu | 0 |
Amka Rihanna Haya ngoja nisubiri ASAP Rocky asema So huyo ndo beb wako mzee | 0 |
Mlezi wetu Fatema Dewji amemkaribisha rasmi Monalisa kama msemaji wa simba queens tunaima | 0 |
Tunafunga sana kumi na nusu jionikaribu sana | 0 |
Hata useme hello December kwa furaha kiasi gani madeni ya November hayakuachi | 0 |
Hatudili na mtu SISI NI WA TAASISI Makofiiiiii simamaaaa makofiiii | 0 |
HakiElimu yasikitishwa na bajeti ya elimu kushuka badala ya kupanda | 1 |
Usicheke watu wanapitia mazito | 1 |
Ccm baada ya kuona CDM na ACT wamejitoa | 0 |
Kesho yake ni jukumu letu sote | 0 |
Kuna mtu namdai ananisumbua kunilipa | 0 |
Kitambulisho cha NIDA ni mchongo sana katika baadhi ya michongo muhimu Usikipuuzie kabsa | 1 |
Mwanamume anapaswa kuhisi kwamba anahitajika na mwanamke anapaswa kuhisi kwamba anahudumiwa | 1 |
Hayo yanaitwa mauaji ya Sharubela | -1 |
Malipo ni hapa hapa duniani | 1 |
Nimeiona Najaribu kuifupisha hata kama sio leo | 0 |
Kocha Pablo wachezaji wake | 0 |
Anasema Kuvuka mia kukanyaga mavi bure | 0 |
CHUMA Miquissone anatufungia bao la kwanza | 0 |
Bora Kuogopwa maana wakikupenda ipo siku Watakuchukia | 1 |
CCM wanaogopa sanduku la kura balaa | 0 |
Karibu mwamba Stamford BridgeIrudishie Chelsea makali yale wakati unacheza Frank Lampard kocha mpya Chelsea | 0 |
Usiingie kwenye mahusiano na mtu ambae hutatamani watoto wako wawe kama yeye | 1 |
Habari mdau Tunakushukuru kwa maoni adhimuJK | 0 |
Waziri Mwijage akizindua mashine ya kusaga nafaka iliyotengenezwa kijijini | 1 |
Ukiweka kinyongo ni wewe utaumia | 1 |
Karibu kwenye wikiendi nyingine ya kuelimika na Tazama ratiba nzima kisha tukutane mapema kesho | 0 |
Beki ya kuzuia na kushambulia | 0 |
Nimetua Dodoma asubuhi hii na ndugu zangu mwijaku Dodoma Airport | 0 |
Kipanya Ni Genius Ni Basi tu Shujaa Hakub | 0 |
Tujengewe sanamu Letu Nyama Choma Festival popote itakapofanyika | 0 |
LIVE kijijini Azam Two Washiriki ktk nchi wanaianza safari kuwania Tzsh Milioni | 0 |
Naona shadya_kitenge ananizidi urefu sasa | 0 |
Wapambanaji wa kuleta makombe Msimbazi | 0 |
Elimu Ni Ufunguo Wa Maisha Sasa huyu mwanafunzi ataelewa nini htt | 0 |
Unalilia wafanyakazi wa mexico au sio | 0 |
Karibu Sana Hon Ndani ya | 0 |
Je unamfahamu kijana yeyote ambaye ana tatizo la afya ya akili | 0 |
Af ndio inanoga mzee juma halali damu inaflow kichizi | 0 |
Viingilio vya tamasha kubwa zaidi nchini Unaweza kununua tiketi sasa kupitia mitandao ya simu | 0 |
Asanteni Asanteni kwa kuungana na mimi sasa tuendelee kuelimika kutoka kwa wengine | 1 |
Hakuna maji wangeishijekuziba watu midomo si suluhisho Kiafya ni jambo la hatari sana | 1 |