English sentence
stringlengths 1
1.37k
⌀ | Swahili Translation
stringlengths 1
1.21k
⌀ |
---|---|
Jack, Jill and Alice went up the hill. | Jack, Jill na Alice walipanda mlimani. |
Mr Jackson has recently transferred to Tokyo from Los Angeles. | Bwana Jackson amehamia Tokyo kutoka Los Angeles hivi karibuni. |
You cannot rely upon Jim's words since he tries to please everybody. | Hauwezi kutegemea maneno ya Jim kwani anajaribu kumpendeza kila mtu. |
Jim and Mike threw the ball back and forth. | Jim na Mike walitupa mpira nyuma na mbele. |
Jimmy is to some extent capable of performing this operation. | Jimmy kwa kiwango fulani anaweza kufanya operesheni hii. |
But showing off the presents could embarrass the guests who did not bring one. | Lakini kuonyesha zawadi zake kunaweza kuwaaibisha wageni ambao hawakuleta chochote. |
But in many ways, the bird called Alex is unusual, for it has shown the kind of mental abilities that scientists once thought only humans had. | Lakini kwa njia kadhaa, ndege aitwaye Alex sio wa kawaida, kwa kuna ameonyesha uwezo wa kiakili ambao wanasayansi waliwahi kufikiri ni binadamu tu anao. |
Did Jerry really win a lottery? | Je, kweli Jerry alishinda bahati nasibu? |
Jeff thinks he will never fall in love. | Jeff anafikiri hawezi kuangukia kwenye mapenzi. |
The jet plane landed following the instructions of the control tower. | Ndege ya jeti ilitua kufuatia maagizo ya mnara wa kudhibiti. |
It is exciting to welcome Jane. | Inafurahisha kumkaribisha Jane. |
Jane must stop giving way to her desire for chocolate. | Jane lazima aache tamaa yake ya chokoleti. |
Whether Shakespeare wrote this poem or not will probably remain a mystery. | Kama Shakespeare aliandika shairi hili au la, litaendelea kuwa fumbo. |
Sally called on Mr Taylor. | Sally alimwendea Bwana Taylor. |
To make matters worse, he isn't even conscious of annoying his neighbors. | Jambo baya hata zaidi ni kwamba hata haoni kuwa anawakasirisha majirani zake. |
To make matters worse, he began to drink sake. | Kufanya mambo mabaya zaidi, alianza kunywa mvinyo wa sake. |
The whole soccer team was on cloud nine after winning the championship. | Timu nzima ya mpira walifurahia sana baada ya kushinda ubingwa. |
Let's break up the party. | Tusitishe tafrija. |
Now, go and have a good time. The work can wait. | Sasa, nenda kapumzike. Kazi inaweza kungoja. |
A map is available upon request. | Ramani inapatikana ukituma ombi. |
The machine again made the usual noise and printed out the following analysis. | Mashine tena ilifanya kelele ya kawaida na kuchapisha uchambuzi ufuatao. |
Such treatment would make anybody rebel. | Utendaji huo ungefanya mtu yeyote kuasi. |
If you request a further discount, we suggest changing the terms of payment. | Ukiomba kipunguzi zaidi, tutakushauri ubadilishe masharti ya malipo. |
These green leaves turn red or yellow in fall. | Majani haya ya kijani hugeuka nyekundu au manjano katika msimu wa kipupwe. |
As these trees grow tall, they rob the grass of light. | Miti hii inapokua ndefu, hunyakua mwangaza kwa nyasi. |
What accounts for these symptoms hasn't been discovered yet. | Kinachosababisha dalili hizi hakijagunduliwa bado. |
In all my career as a travel agent, I never visited Africa. | Katika kazi yangu yote kama wakala wa kusafiri, sikuwahi kutembelea Afrika. |
It is something my mother made. | Mama yangu alikifanyiza. |
This is too good a chance to lose. | Hii ni nafasi nzuri sana ya kupoteza. |
This tour takes in each of the five main islands. | Ziara hii inahusika visiwa vyote vitano. |
Nothing can excuse him for such rude behavior. | Hakuna kinachoweza kumruhusu kwa tabia hiyo mbaya. |
This tree has been standing for five decades. | Mti huu umekuwa ukisimama kwa miongo mitano. |
This book will be helpful to your study. | Kitabu hiki kitasaidia katika masomo yako. |
This art collection is rich in paintings by Dutch masters. | Mkusanyiko huu wa sanaa ni tajiri katika picha za kuchora na mabwana wa Uholanzi. |
There seems to be some genetic problem with this animal. | Inaonekana kuna shida ya kimaumbile kwa mnyama huyu. |
Most snakes on this island are harmless. | Nyoka nyingi katika kisiwa hiki hawadhuru. |
The city was ruined by the brutal force of nature. | Jiji liliharibiwa na nguvu ya kikatili ya asili. |
Is there a museum in this town? | Je, kuna makumbusho katika mji huu? |
The frequency of crime in the town is high. | Masafa ya uhalifu mjini ni kubwa. |
This boy has a strong and healthy body. | Mvulana huyu ana mwili thabiti na yenye afya. |
I name this ship the Queen Elizabeth. | Naita meli hii Malkia Elizabeth. |
Add up this column of figures. | Ongeza kolamu hii kwenye jedwali. |
There are a great many books in this library. | Kuna vitabu vingi vizuri maktabani. |
This lady witnessed an accident at three o'clock this afternoon. | Mwanamke huyi alishuhudia ajali saa tisa za mchana leo. |
We'll need a head hunting agency to find the right man for this executive position. | Tutahitaji wataamu wa ajira kupata mtu anayefaa kwa msimamo huu wa mtendaji. |
When I have finished writing the letter, I will take you to the lake about two miles beyond the hill. | Nikimaliza kuandika barua, nitakupeleka kwenye ziwa umbali wa maili mbili zaidi ya kilima. |
This clock strikes the quarter hour. | Saa hii inagonga robo saa. |
This job makes tremendous claims on our emotional strength. | Kazi hii inafanya madai makubwa kwa uwezo nguvu zetu za kihisia. |
According to this magazine, my favorite actress will marry a jazz musician next spring. | Kulingana na gazeti hili, mwigizaji wangu pendwa atamuoa mwanamuziki wa jazz msimu ujao. |
I hope this expense report contains all the relevant business expenses because I'm not paying a cent more after this. | Natumahi ripoti hii ya gharama ina gharama zote muhimu za biashara kwa sababu sitalipa senti nyingine zaidi baada ya hii. |
Please accept our apologies for the trouble this matter has caused you. | Tafadhali ukubali msamaha wetu kwa tatizo ambalo jambo hili limesababisha. |
This project will involve 50 trained staff members. | Mradi huu utahusisha wafanyakazi 50 waliopitia mafunzo. |
This church dates from the 12th century. | Kanisa hili lilianzia karne ya 12. |
The butcher who sold me this beef is always friendly. | Mchinjaji aliyeniuzia nyama hii ni rafiki kila wakati. |
This rule does not apply to the case. | Sheria hii haitumiki kwa kesi hiyo. |
This machine answers to human voice. | Mashine hii inajibu sauti ya mwanadamu. |
I'd like to take advantage of this opportunity to thank you all for your cooperation. | Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru nyote kwa ushirikiano wenu. |
This desk is different from the one I ordered. | Dawati ni tofauti na nililoagiza. |
This painting will pass for genuine. | Picha hii itathibishwa kuwa halisi |
I felt like a fish out of water at this firm. | Nilihisi kama samaki nje ya maji katika kampuni hii. |
The fire reduced the whole village to ashes. | Moto ulipunguza kijiji kizima kuwa majivu. |
The scientist is famous not only in Japan but also in foreign countries. | Mwanasayansi huyo sio maarufu nchini Japan tu, bali pia katika nchi za nje. |
With this one exception, it is quite wrong to suppose that a simple culture will also have a simple language. | Kwa kighairi hiki kimoja, si sawa kudhani kuwa utamaduni ulio rahisi pia una lugha rahisi. |
Does this bus go to the train station? | Je, basi hili hufika kwenye kituo cha treni? |
The owner of this bar never sells liquor on credit. | Mmiliki wa bar hii huwa hauzi pombe kwa deni. |
This theme should be treated in more detail. | Mada hii inapaswa kushughulikiwa kwa undani zaidi. |
This chocolate is very sweet and tasty. | Chokoleti hii ni tamu sana na ina ladha. |
This tire is showing wear. | Tairi hii inaonekana kuzeeka. |
This symbol stands for strength and integrity. | Ishara inasimamia nguvu na uadilifu. |
Don't pour hot water into the glass or it will crack. | Usimimine maji ya moto kwenye glasi au itapasuka. |
The glass crashed to the ground. | Kioo kilianguka chini. |
This is Miss Curtis. | Huyu ni Bi Curtis. |
This is the TV station where my uncle works as an announcer. | Hii ndio kituo cha Runinga ambapo mjomba wangu hufanya kazi kama mtangazaji. |
Between ourselves, he keeps a mistress. | Baina yetu, anaendelea mpenzi wa kando. |
It's the same wherever you try and escape: everywhere is a death row, and everyone's a victim. | Ni sawa popote unapojaribu na kutoroka: kila mahali kuna safu ya kifo, na kila mtu ni mwathirika. |
How long does it take from here to the station? | Inachukua muda gani kutoka hapa hadi stesheni? |
Gordon has had his head in the clouds all week. | Gordon amekuwa na mawazo mengi wiki nzima. |
I'd like seats about fifty yards from the court. | Ningependa viti viwe karibu na yadi hamsini kutoka kwa bustani. |
The coach made the players run five miles a day. | Kocha huyo aliwafanya wachezaji kukimbia maili tano kwa siku. |
Kelly cleared his throat and begin to speak. | Kelly alisafisha koo lake na kuanza kuongea. |
President Kennedy was killed, but his legend will live on forever. | Rais Kennedy aliuawa, lakini hadithi yake itaishi milele. |
It was not until Kay received the doll that she stopped crying. | Ilikuwa hadi Kay alipopokea yule doli ambapo aliacha kulia. |
Credit is the amount or sum placed at a person's disposal by a bank; a loan of money. | Mikopo ni kiasi au jumla iliyowekwa kuombwa na mtu; mkopo wa benki. |
It's dangerous to tell Chris your secrets because he tells everybody. | Ni hatari kumwambia Chris siri zako kwasababu atamwambia kila mtu. |
Chris was hired to paint houses and was able to raise the money. | Chris aliajiriwa kupaka nyumba rangi na aliweza kupata pesa hizo. |
Cathy had her hat blown away. | Kofia ya Cathy ilipeperushwa. |
The rough material hurt the child's tender skin. | Kitu kilimuumiza mtoto ngozi yake nyororo. |
Kim's smile was very sweet. | Tabasamu la Kim lilikuwa tamu sana. |
Playing country-western music on guitar is real kid stuff to a true professional. | Kucheza muziki wa nchi za magharibi kwenye gita ni vitu halisi vya watoto kwa mtaalamu wa kweli. |
Cancer can be cured easily if it is found in its first phase. | Saratani inaweza kutibiwa kwa urahisi ikigunduliwa mapema. |
Hold the button down until you hear the shutter make a clicking sound. | Shika kitufe chini hadi usikie kifuniko kikitoa sauti ya kubonyeza. |
The Catholic Church is opposed to divorce. | Kanisa Katoliki linapinga talaka. |
Cocktail parties can be boring. | Karamu za mapema jioni zinaweza kusinya. |
It took me by surprise to hear that Carl was moving to Germany. | Ilinishangaza kusikia kwamba Carl alikuwa akihamia Ujerumani. |
It was yesterday morning that I saw Mr Carter. | Ilikuwa jana asubuhi nilimwona Bwana Carter. |
Excuse me for interrupting you, but would you mind opening the window? | Niwie radhi kwa kukukatiza , lakini unaweza kuifungua dirisha hii ? |
Do you have any bags to check? | Una mifuko yoyote ya kuangalia? |
Your beauty turns me pale. | Urembo wako unanigeuza rangi. |
This way, please, mademoiselle. | Tafadhari, njia ni hii dada. |
The visitor has gone away five minutes before you came back. | Mgeni amekwenda dakika tano kabla ya hujarudi. |