Tweets
stringlengths 11
277
| Labels
int64 -1
1
|
---|---|
Nilikuwa chuo babyndo kituo cha karibuhalafu si umeniaga unalala | 0 |
Muda Huu Kuna Mjinga Mmoja Yupo Ananusa Boxer Yake Kama Haina Harufu Avae Tena Baada Ya Kuivaa Siku 6 | -1 |
Habari Edward Ahsante kwa kuwasiliana nasi Naomba nikufahamishe kuwa tulikuwa na tatizo la kimtandao kwenye upande wa intanet mafundi wetu wamelifanyia kazi na sasa huduma ipo sawa tunaomba radhi kwa usumbufu uliyojitokeza SC | 0 |
Next episode yule mkaka alomshauri Chale ovyo Tunaomba asimame kuna kiti twataka ona | 0 |
Hakuna mtandao wa kijamii ambao ni salama kwa sasa Walipoanzisha facebook twitter nakadhalika ikiwemo mtandao wa L | -1 |
Pole sana tunaomba kufahamu sehemu ya tatizo lako tafadhaliFB | 0 |
Kesho si ndio siku yetu ya kujifunza huku tukifurahia umoja wetu waswahili Basi kujua mbinu za kupata kazi kirahisi ndugu | 1 |
Habari asante kwa maoni yako Tutafanyia kaziKA | 0 |
Mbali na uraia wa Dr Kigwangalla pia anadaiwa kuwa hatumii jina halisi na kwamba jina lake ni Said Bagaile ambaye | 0 |
Matunda yenye rangi ya njano kama machungwa na maembe yana kiasi kikubwa cha vitamini C Mahususi katika kuongeza na kuimaris | 1 |
Kama tafiti za 2014 zilionesha vijana ni nguvu kazi ya taifa kwa 56 ni kipi kilifanyika kulipa support kundi hilotuwe wakweli tuache siasakwa maana kwa hizo asilimia hili ndio kundi muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi hiitukae chini tutafakari | 0 |
Sahivi ukirudi shule point gani unaweza ukaielezea vizuri kabisahadi na mifano ya kweli Mimir government support | 0 |
Kaka wewe ni mpinzani wa mfano hauko kwenye kundi hilo Na unajipambanua kwenye mambo yako Sisi | 0 |
Ulaji wa Apple la kijina na ndizi usaidia kupunguza uzito | 1 |
Repost from using repostregramapp Multichoice imekuja na THE PUNGUZO Miezi miwili | 1 |
Halafu kuna mwamba wa zamani wa Man United kakosa penati leo hakuna pa kujifichia msimu huu | -1 |
Tuambie ulipo tuweze kufuatilia uweze kupata huduma ya vocha | 0 |
Habari pole kwa usumbufu uliojitokeza kuna tatizo la kiufundi kwa upande wa tigopesa na wataalam wetu wanafanya jitihada za kutatua tatizo hilo mapema iwezekanavyo tafadhali subiri tutakufahamisha litakapokuwa limekamilika | 0 |
Puuza uzushi kwamba chanjo italeta madhara baada miaka kadhaa sikiliza majibu ya wataalam wa afya ili tumshinde huyu adui | 1 |
Naumiaga sana kuona watu wanajitoa akili huku wanajua kila kitunajizuiaga nashindwa | 0 |
Wanafunzi wenye ulemavu wakwamishwa na miundombinu Lindi Klik | -1 |
Shule za kata zikikosa utaratibu wa kuzuia lugha za makabila shulenihudhoofisha uwezo wa kujua lugha mbali mbali kwa wanaf | 0 |
Umoja wa Mataifa chini ya uongozi wa umejiwekea lengo la kufikia usawa wa jinsia kwa kuwapatia wanawake 50 ya ajira ndani ya chombo hicho katika ngazi zote na hadi sasa umefikia lengo hilo la 5050 katika uongozi wa ngazi y | 1 |
Redio za kijamii 50 na magazeti 20 yalihusishwa katika mradi wa ili kuchagiza ajenda ya jinsia Redio z | 0 |
Matokeo Chanya LIVERAIS MAGUFULI KATIKA UZINDUZI WA JENGO LA TAT | 1 |
Kuna haja ya kutoa elimu kwa jamii pamoja na kuongeza uhamasishaji juu ya umuhimu na hatima ya kielimu kwa watoto wa k | 1 |
Kama lengo lilikuwa ni kututisha na kutukatisha tamaa wananchi katika harakati za kupigania mabadiliko kutoka katika utawa | -1 |
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Tunaomba ufafanuzi tatizo ni nini tafadhali lililosababisha kusema hivyoili tuweze kulitatua au kukupatia ufafanuzi yakinifu Ahsante RP | 0 |
tumepokea changamoto hiyo tunaifanyia kazi mteja wetu | 0 |
Ile msg ya sizioni siku zangu si uwa inakuogopesha sasa kwanini hupendi kutumia | -1 |
bKabla watu awajakufollow lazima wangalie profile yako weks profile ambayo inaeeza kuvutis watu kukufollow cBio Tengeneza bio ambayo inaonyesha watu wanaweza kujifunza kitu kupitia wewe Mfano wa bio isiokuwa na mvito Nna miaka 18 nakaa mbagala nasomea ufundi | 1 |
Ni heshima kubwa kwetu Tutalipa Imani hii kwa kuwafanyia kazi watanzania | 0 |
Kajaribu kuwashauri mashabiki wa arsenal wakikuelewa nami sina la kupinga | 0 |
MMOJA wa abiria aliyenusurika kifo baada ya boti ya Lulimbe waliyokuwa wakisafiria kutoka Kemondo wilayani Bukoba kuelekea Rushonga Bumbire wilayani Muleba kuwaka moto ghafla ameeleza mbinu iliyomuokoa gtgtgt | 0 |
Ugenini mgeni unatumia kinywaji gani Mimi Pepsi moja baridi halafu kwanza nipeni chaja wakati huo dagaa zipo jikon | 0 |
Wanamwita Sugu SUGU SUGU SUGU My brother Jongwa Hatari I re | 1 |
Leo kwenye leo tunaongelea ulinzi na uangalizi kwa mtoto je wewe unaelewa nini kuhusu hilo ungana na Idrisa Salum Mwanakwetu Chomboni pamoja na marafiki wa Elimu Ayubu Bwanamadi | 1 |
Mimi huwa sipendi kufanya kazi na ndugu zangu sababu ndugu wanalawama sana hawakubali kama nimeshakuwa Bosi Kandi Baham | -1 |
Katika miaka mitatu iliyopita matumizi ya afya yamepungua kwa 9 huku malipo ya deni yakiongezeka kwa 200 Tun | 0 |
Sekta ya mawasiliano ya simu Afrika inakua kwa kasi Hii ni sekta muhimu kuendelea kupewa kipaumbele ili kukua zaidi kwan | 0 |
Habari Alhaji Lomayani tunaomba namba zenye shida DM kwa msaada zaidi | 0 |
Majira Ijumaa Machi 6 2020 | 0 |
Ni Mwaka Mmoja sasa tangu Jasiri Muongoza Njia Ruge Mutahaba atangulie ni kama Juzi tu Endelea kupumzika mahali pema peponi | -1 |
Sina uhakika sana soko la mziki nalo lina fitna zake vizuri tuu WCB naweza kusema wana loyal fans | 1 |
Taarifa toka Mamlaka ya Hali Hewa Tanzania TMA Tukio Uwepo wa mvua kubwa Siku Alhamisi Februari 13 2020 Baadhi | 0 |
Innovate Innovate Innovate In Tanzania We need more and more | 1 |
Habari pole sana kwa changamoto tunaomba namba yako DM kwa msaada zaidiKA | 0 |
Kila mtu akipata mita za ujazo chini ya 1700 maana yake tumeingia kwenye uhaba wa maji ikifika kwamba kila mtu anapata mit | -1 |
Habari Juma Usijali tutakufahamisha mshindi huyo wa mil 26 aliweza kupata kiasi hicho cha bonus kwa sababu aliweka mikeka mingi ya Jackpot hivyo alipatia mechi nyingi katika kila mkeka aliokuwa ameuweka Cheza sasa kupitia na wewe uweze kushi | 1 |
Siku uwe na pesa Na hauna furaha je unweza kutumia hio pesa kununua furaha yako Mfano kupitia pesa unaeeza kununua uhai wa mtu | 0 |
Kama maisha yangekuwa kama Tamthilia asee NIngekuwa mbali maana watu wanatoboa mapema sijui michongo wanaitoa wapi | 0 |
Askofu wa Jimbo Katoliki la Tanga Mhashamu Anthony Banzi akiwasha mishumaa 25 ikiwa ni sherehe yake ya Jubilee ya miaka 25 ya | 0 |
Karibu katika kipindi cha usikilize mikasa ya maisha na mapenzi na umtakie usiku mwema umpendae kwa | 1 |
Habari Ahsante wa kuwasiliana nasi Tuapenda kukufahamisha kwamba hata hicho kifurushi cha shilingi 500 kipo bonyeza 14901 kisha chagua nunua bando kisha chagua intaneti na jiunge kifurushi kulingana na matumizi yako Ahsante kwa kucha | 1 |
Karibu sana Chief Ukimaliza kusoma jisikie huru kutoa mawazo ya ziada au mawazo kinzani | 1 |
Bwana Viju Cherian Managing Director akiongea katika ufunguzi wa tawi lao jipya mtaa wa Uhuru Kariako | 0 |
Anatuambisha Sana Sisi Kama wasukuma wenzake Hatujapenda kabisa | -1 |
Nyama Choma Festival jumamosi hii pande za Leaders Club kwa kiingilio cha Sh 10000 ukinunua tiketi mapema au Sh | 1 |
Kwasisi Vijana Tunao Anza Maisha Tuanze na Kipi 1Tununue Gari Nzuri Afu Tupange 2Tupange Huku tunajenga | 0 |
pamoja sana endelea kutumia huduma zetu kwani bado tunaendelea kuboresha zaidi ili kuweza kuwapatia huduma bora zaidi tigo live itlove it | 1 |
Ishi na watu vizuri watendee wema MUNGU ndiye ataamua kukulipa kwa njia inayoonekana au kwa njia isiyoonekana | 1 |
Imenitoa relini sana lengo ilikuwa kuzuia masta asiwe na ulinzi thabiti Na gavoo by then haya yalikuwa ya kawaida Tunaj | 0 |
Fedha za walipa kodi zinatumika kuchagiza vimbunga kusambaza ukame na ongezeko la joto kuyeyusha theluji na kubabua matumbawe kuangamiza dunia asema wiki hii akiwa ziarani Austria | 0 |
12 Kama mechi iliyohailishwa haitachezwa kufikia masaa sabini na mawili 72 au hakuna taarifa ambayo tunaipata kuhusiana na mechi hii baada ya kuhailishwa basi bashiri zitabatilishwa | 0 |
Leo nimepika choroko Maana mambo naona yamevurugika kweli na waHindi hawataki choroko zetu | -1 |
Kabisawatu walimpinga kwa watu binafsi kufanya hili suala bila financial institution | -1 |
Tanzania bila mifuko ya plastiki inawezekana kesho Juni Mosi 2019 tuachane rasmi na matumizi ya mifuko hiyo | 0 |
Mbona ipo wazi tu PoliCCM Labda cha kurekebisha kidogo hapo ilitakiwa iwe nusu kwa nusu hiyo Sa | 0 |
Hizi sheria zote zinatugusa kwa sasa Kwa sababu sheria zinawahusu wananchi | 0 |
Asante sana kwa kushea na kutembelea kurasa zetu | 1 |
tunaomba namba yako na eneo unaloishi | 1 |
Sehemu ya ripoti ya Mchunguzi Maalum Robert Mueller nchini Marekani juu ya kujihusisha kwa Urusi kwenye uchaguzi wa Urais wa mwaka 2016 inaonesha kuwa Rais Donald Trump alitaka kuudhibiti uchunguzi huo na kulazimisha kuondolewa kwa Mueller mwaka 2017 | -1 |
Je ni kweli Wanawake wengi hawagombei vijijini kwa sababu hawana uchungu na changamoto mbalimbali zinazowakabili | 0 |
baina ya mtu na moyo wakekama ilivyokuja kwenye aya hiyo Hii ina maana kwambana kwa mujibu wa ufafanuzi uliotolewa na Muhammad Asad kutoka kwa Imam RaghibiMola wetu Mlezi Mtukufu huingia baina ya matamanio ya mtu na matendo ya nje ambayo yanaweza kutokana na matamanio hayo | 0 |
NAIBU WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI ATEMBELEA BANDA LA MAONYESHO LA VITAMBULISHO VYA TAIFA NIDA NANENANE | 1 |
We hope to see you next time Ila tutaongeza ulinzi mkali usiondoke na simu Asante kwa kutuunga mkono | 0 |
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan aipongeza sekta ya Utalii nchini kwa mahusiano mazuri Duniani kutokana na maendeleo ya teknolojia na upatikanaji taarifaSoma Zaidi gtgt | 1 |
Nini chanzo au vyanzo vinavykukosekana kwa uaminifu katika maisha ya ndoa karibu tujadili pamoja na omary | 0 |
Dogo alivyoumwa akalazwa ikahitajika 182000 kama hela ya matibabu nikiwacheck washikaji naambulia story ni | 0 |
Amna mzee baba ni mchakato mrefu saana Uezi ukasema mwez tu unatosha watu kuelimika km wamemua kutokuzuia lockdown na mipaka Basi isambazwe elimu ya kutisha saaaana saaana Kila mahali namna ya kujikingabado watu wa | 0 |
Ahsante kwa mrejesho na endelea kufurahia huduma zetuLM | 0 |
Watu wengi wanatumia mitandao ya kijamii Ila Sheria zake hawazijui na Wala hawataki kuzijua | -1 |
Nchi ya Tanzania na Afrika Kusini ni washirika wakubwa wa uchumi na maendeleo | 1 |
Hatuwapaishi tunasema nowhere to go kuna siku utaelewa | 0 |
Lugha ni Kiswahili tutena kwa kipindi hiki muhimu wakati hatujui kingereza au kiswahilini bora | 1 |
Ubinadamu kazi isiyokuwa na malipo | 0 |
Mjumbe wa Kamati ya Hamasa na Uchangiaji ya Said Mrisho alipofafanua kuhusu tiketi za kuingilia kwenye tukio kub | 1 |
Serikali ya Tanzania ilipiga hatua kubwa kwa kutangaza kutoa kodi katika taulo za kike Swali niJe wasambazaji wamepu | 0 |
Jumanne siku ya kimataifa ya sanaa za kuandaa kupika na kula chakula kizuri kwa njia endelevu inakupa vidokezo 9 vya kupunguza utupaji vyakula na kujiunga na harakati za | 0 |
Poleni sana wateja wetutunaifanyia kazi changamoto hiyo ya kuangalia slio kwa ujumla | -1 |
Serikali kupitia Sekta ya Ujenzi imeanzisha utaratibu wa kufuatilia utendaji kazi wa mizani kwa saa 24 kwa kutumia mfumo w | 1 |
Hii ilikuwa kazi yangu ya kwanza baada ya kumaliza form 6 project ya kutoa chanjo ya kuzuia kansa ya shingo ya kizazi Nikachaguliwa kwenda chuo wale wazungu wakaningangania nimalize project watanisomeshahome wakakataawaga nawamaindi ningekuwa twita kizungu sahivi | 0 |
Retweet Weka Handle yako Follow wote walio like handle yako na wao wafollow back Ni mda wa kukuza Account | 0 |
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Pole sana kwa changamoto uliyoipata Tunapenda kukufahamisha kuwa wateja wote walipewa MB 300 kama pole | 1 |
Kocha wa Wolves Nuno Espirito Santo amethibitisha kuwa Wawili hao wako Fiti kuelekea Mchezo wao wa Leo dhidi ya Leiceste | 1 |
Hongera vijana wanaojitolea Odette Kwizera kutoka Burundi ni mfanyakazi wa kujitolea wa nchini kwenye redio ya jamii ya Soma simulizi yake | 1 |
Mapato yanatokana na gawio na michango ya kampuni taasisi na mashirika yameongezeka kutoka TZS 16104 bilioni mwaka 2014 | 1 |
Nimemsikiliza huyo taahira kweli kama hawa ndio wanategemea kua viongozi nchi hii haitaendelea Anasema uhu | 0 |
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Pole sana tunaomba ufafanuzi wa tatizo lako tafadhali mnapata changamoto ganiFB | 0 |
VIDEOKlabu ya Barcelona wamesha tua katika Jiji la Manchester United kucheza mchezo wao wa Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Manchester United Mchezo utakao chezwa kesho Jumatano | 1 |