English sentence
stringlengths 1
1.37k
⌀ | Swahili Translation
stringlengths 1
1.21k
⌀ |
---|---|
Hearing the monster's footsteps, they began running in all directions. | Kusikia nyayo za mizimu, wakaanza kukimbia pande zote. |
We could hear the groans of the injured man. | Tuliweza kusikia miguno ya mtu aliyejeruhiwa. |
Finding a solution that worked was a process of trial and error. | Kupata suluhisho lililofanya kazi ilikuwa mchakato wa kubahatisha. |
His official title at the company is Assistant to the President. | Jina lake rasmi katika kampuni hiyo ni Msaidizi wa Rais. |
My stomach started growling right there in the meeting. It was embarrassing. | Tumbo langu lilianza kuguruma papo hapo kwenye mkutano. Ilikuwa aibu. |
Meetings are to be held on the afternoon of July 15 (Tuesday), all day July 16 (Wednesday), and the morning of July 17 (Thursday). | Mikutano inapaswa kufanywa alasiri ya Julai 15 (Jumanne), siku nzima Julai 16 (Jumatano), na asubuhi ya Julai 17 (Alhamisi). |
It would help us if you would reserve the following hotel during our conference. | Ungetusaidia kama ungetuhifadhia hoteli ifuatayo wakati wa kongamano letu. |
The artist captured the charm of the lady. | Msanii huyo aliteka nadhiri za huyo binti. |
Our company has annual sales of a thousand million yen. | Kampuni yetu ina mauzo ya yen elfu milioni. |
We are, in large measure, responsible for students' success in the entrance exam. | Tunawajibika kwa kiwango kikubwa ufanisi wa wanafanzi katika mtihani wa kuingia. |
We are entitled to vote at the age of twenty. | Tunastahili kupiga kura katika umri wa miaka ishirini. |
We sang songs in chorus. | Tuliimba nyimbo kwa kwaya. |
We did our best only to fail. | Tulifanya bidii yetu tu kutofaulu. |
We have to bring our teaching methods up to date. | Lazima tuboreshe mbinu zetu za kufundisha. |
We're booked for the whole month on Broadway. | Nafasi zote zimehifadhiwa kwa mwezi mzima Broadway. |
We are familiar with the legend of Robin Hood. | Tunajua hadithi ya Robin Hood. |
We were granted the privilege of fishing in this bay. | Tulipewa pendeleo la uvuvi katika ziwa hili. |
Our total debts amount to ten thousand dollars. | Jumla ya deni letu ni dola elfu kumi. |
Our ultimate goal is to establish world peace. | Kusudi letu la mwisho ni kuanzisha amani ulimwenguni. |
This new product of ours is a serious blow to our rival company. | Bidhaa hii mpya yetu ni pigo kubwa kwa kampuni yetu pinzani. |
In case the shipment is delayed, we have special delay insurance. | Ikiwa usafirishaji umechelewa, tuna bima maalumu ya kucheleweshwa. |
The plan announced Tuesday calls for $54 billion in tax cuts. | Mpango uliotangazwa Jumanne inatoa wito wa dola bilioni 54 kwa kupunguzwa kwa ushuru. |
Would you like some fruit? | Ungependa matunda? |
Technology has failed to ease the conflict between man and nature. | Teknolojia imeshindwa kupunguza mzozo kati ya mwanadamu na maumbile. |
Science is based on careful observation. | Sayansi inategemea uchunguzi wa makini. |
We're goin' home. | Tunaenda nyumbani. |
I delighted in going to his farm during the summer vacation. | Nilifurahi kwenda shambani mwake wakati wa likizo ya kiangazi. |
In summer, eggs soon go bad. | Wakati wa kiangazi mayai huharibika haraka. |
May I help you ma'am? | Naweza kukusaidia ma'am? |
Because the store is so small, he has to wear many different hats, from accountant to stock boy. | Kwa sababu duka ni ndogo sana, lazima afanye kazi nyingi tofauti, kutoka kwa mhasibu hadi kijana wa kukagua bidhaa. |
I want something with which to write. | Nataka kitu cha kuandikia. |
I'm just a boy who makes mistakes. | Mimi ni mvulana tu anayefanya makosa. |
My papa said no. | Baba yangu alisema hapana. |
The prince was turned by magic into a frog. | Mfalme aligeuzwa na uchawi kuwa chura. |
The king was famous for his splendid palace. | Mfalme alikuwa maarufu kwa sababu ya kasri lake kuu. |
The royal palace was built on a hill. | Kasri la kifalme lilijengwa juu ya kilima. |
May I take your size, madam? | Naweza chukua kipimo chako, Mama? |
After his wife left him, Harold went nuts. | Baada ya mkewe kuachana naye, Harold alichanganyikiwa. |
Instead of beating around the bush, Jones got straight to the point. | Badala kuzunguka, Jones alieleza moja kwa moja. |
The sky had become threatening before I got to the station. | Anga ilikuwa ikitishia kabla sijafika kituo. |
Unlike Great Britain, the Upper House in the United States is an elected body. | Tofauti na Uingereza, Bunge la Juu huko Amerika ni taasisi iliyochaguliwa. |
English isn't easy to master. | Kiingereza sio rahisi kuelewa. |
I like English best. | Napendelea Kiingereza. |
I would have liked to see the ending of the film, but I had to leave the theater. | Ningependa kuona mwisho wa filamu, lakini ilibidi nitoke nje ya thieta. |
Lack of exercise may harm your health. | Kukosa mazoezi kunaweza kudhuru afya yako. |
There is no limit to the universe. | Ulimwengu ni mkubwa hauna mpaka. |
I drank too much and the ground seemed to spin under my feet. | Nilikunywa sana na ardhi ilionekana kuteleza chini ya miguu yangu. |
A festival is held at the rice harvest. | Sherehe hufanyika wakati wa mazao ya mchele. |
A single step, and you will fall over the cliff. | Hatua moja, na utaanguka juu ya mwamba. |
Where's the nearest department store? | Duka la karibu zaidi liko wapi? |
Generally speaking, Japanese women are modest. | Kwa ujumla wanawaje wa kijapani sana kiasi. |
No sooner had we finished working on one tough problem than the president sent us yet another straight from the top. | Mara tu tunapokamilisha kushughulikia shida moja ngumu ndivyo rais alitutumia nyingine kutoka juu. |
Please return one set to us with your signature. | Tafadhali rudisha seti moja kwetu na saini yako. |
He said to me, 'Study hard, or you won't pass the test.' | Aliniambia, 'Soma kwa bidii, au hutapita hiyo mthiani.' |
If you don't study hard, you'll continue to get poor scores. | Usiposoma kwa bidii, utaendelea kupata alama duni. |
One murder makes a villain, millions a hero. | Mauaji mamoja yanafanya mtu katili, mengi yanamfanya shujaa. |
Instead of going myself, I sent a messenger. | Badala ya kwenda mwenyewe, nilituma mjumbe. |
The amount of paper produced by a country is closely related to its cultural standards. | Kiasi cha karatasi inayozalishwa na nchi inahusiana sana na viwango vyao vya kitamaduni. |
I went to the South Pacific for a summer of romantic adventure. | Nilikwenda Kusini mwa Pasifiki kuvinjari kimahaba wakati wa majira ya joto. |
Medical science has made a dramatic advance. | Sayansi ya matibabu imepiga hatua kubwa. |
It is hard for an empty sack to stand straight. | Ni vigumu kwa gunia tupu kusimama wima. |
The stomach is one of the internal organs. | Tumbo ni moja wapo ya viungo vya ndani. |
The data to be discussed below was collected in the following way. | Takwimu za kuzungumziwa hapo chini zilikusanywa kwa njia ifuatayo. |
The smaller the body, the more likely the person will suffer from the ill effects of radiation. | Mwili ukiwa mdogo, kuna uwezekano kuwa mtu ataumia kwa athari za mnunurisho. |
Greetings are the basis of good manners. | Salamu ni msingi wa tabia nzuri. |
It is not until we lose our health that we recognise its blessing. | Sio hadi tupoteze afya zetu ndio tutambue baraka zake. |
We were sweating in the heat. | Tulikuwa tukitokwa jasho kwa joto. |
I am not the Christ but I am sent ahead of him. | Mimi si Kristo, bali nimetumwa ili nimtangulie. |
We elected Jeffrey captain of our team. | Tulimchagua Jeffrey kama Kapteni wa kikosi chetu. |
Crime is certainly on the increase in many of our big cities. | Uhalifu unazidi kuongezeka katika miji yetu mingi. |
In the London underground there is a warning to "mind the gap" when boarding the train. | Chini ya ardhi kuna tahadhari inayosema "kuwa maakini na uwazi" unapopanda treni. |
In London, the police are always worried about finding a bomb on the train or subway. | Mjini London, polisi sikuzote huhofia kukuta bomu kwenye treni au kituo chaa chini ya barabara. |
On his arrival in London, he sent me a telegram. | Aliipowasili London, alinitumia telegramu. |
During his stay in London, he is going to visit his cousin. | Wakati akiwa London, ataenda kumtembelea binamu yake. |
It is Mrs. Lee, Susan's mother, in London. | Ni Bibi Lee, mama ya Susan, Uingereza. |
Robert is the fifth wheel on the safety committee. | Robert ndiye gurudumu la tano kwenye kamati ya usalama. |
Los Angeles is the second largest city in the United States. | Los Angeles ndio mji wa pili mkubwa nchini Amerika. |
Lola danced with grace. | Lola alicheza dansi kwa madaha. |
The surprise party for Laura is not tonight, but tomorrow night. | Sherehe ya mshtuko kwa Laura sio usiku wa leo, lakini kesho usiku. |
Roy looks happy when his girlfriend calls him. | Roy anaonekana kufurahi wakati rafiki yake wa kike anamwita. |
Can you take his place, Leo? | Je, unaweza kuchukua nafasi yake, leo? |
The horse that won the race was owned by Mr Johnson. | Farasi walioshinda mbio hizo wabamilikiwa na Bw Johnson. |
The rangers decided to go to the sailor's rescue. | Askari waliamua kwenda kumuokoa mbaharia. |
The bike ride told on Louie. | Mwendesha baiskeli alimsema Louie. |
The other girls are jealous of Lily because she is extremely pretty. | Wasichana wengine wana wivu na Lily kwa sababu ni mrembo sana. |
Meanwhile, the foolish uncle was sitting in the living room. | Wakati huo, mjomba mjinga alikuwa amekaa sebuleni. |
Richard said his mother was ill, which is a lie. | Richard alisema mama yake ni mgonjwa, ambapo ni uongo. |
Liz has been dead for eight years. | Liz aliaga miaka nane iliyopita. |
The lion is the king of the jungle. | Simba ndiye mfalme wa msitu. |
Europe is now reported to be entirely free of new cases of this disease. | Uropa sasa imeripotiwa kuwa haina kisa kipya cha ugonjwa huu. |
Yo, my man! | Yo, mtu wangu! |
Hence 50 percent of the muscle can give way to fat. | Kwa hivyo asilimia 50 ya misuli inaweza kutoa mafuta. |
By and by, the bitter north wind began to blow. | Taratibu upepo mkali wa kaskazini ulianza kuvuma. |
Molly has a large clock. | Molly ana saa kubwa. |
Of course I remember the news quite well. | Ni vyema nakumbuka taarifa vizuri sana. |
I'll be deeply affected by his death. | Nitaathiriwa sana na kifo chake. |
Hello, is this the personnel department? | Hujambo, hii ndiyo idara ya wafanyakazi? |
I barely escaped being hit by the truck. | Nili epuka kunipigwa na lori. |
I don't have enough RAM. | Sina RAM za kutosha. |
Meg is curious to know everything about Japan. | Meg ana shauku ya kujua kila kitu kuhusu Japan. |